Zelenskyy akataa kuomba msamaha kwa Trump; Asema: “sikufanya lolote baya”

Rais wa Ukraine amekataa kuomba msamaha baada ya mabishano makali na majibizano ya maneno na mwenzake wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House.