Zelensky awasili Washington kwa mazungumzo na Trump

Viongozi hao wanatarajiwa kusaini makubaliano yatakayowapa Marekani sehemu ya rasilimali adimu za madini za Ukraine.