Zelensky asema amani ya kudumu nchini Ukraine itapatikana mwaka huu

Rais wa Marekani Donald Trump ameshikilia kile alichokitaja kuwa mazungumzo ‘mazuri ya simu’ yaliochukua saa moja na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky, siku moja baada ya kuzungumza na Rais wa Urusi Vladimir Putin.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *