Zelensky anamatumaini kumaliza vita vya Ukraine mwaka huu

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema “tunatumai kwamba tunaweza kumaliza vita hivi mwaka huu” katika kumbukumbu ya mwaka wa tatu wa uvamizi kamili wa Urusi.