Zaidi ya wakimbizi 60,000 kutoka DRC wawasili Burundi, wengi ni wanawake na watoto

zaidi ya watu 60,000 wamevuka mpaka na kuingia Burundi Katika muda wa wiki mbili tu, wakikimbia ghasia na machafuko makubwa yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).