Yemen yautwanga kwa makombora utawala wa Kizayuni/sauti za ving’ora zasikika

Duru za Kizayuni zimearifu kuwa sauti za ving’ora vya hatari vilisikika jana katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kufuatia shambulio la makombora ililotekelewa na jeshi la Yemen.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *