Jeshi la Yemen limeulenga Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv baada ya majaribio kadhaa ya jeshi la Israel kulizuia kushindikana. Kombora hilo lilipenya na kukwepa ngao nne za ulinzi wa anga na kutua katikati ya Uwanja wa Ben Gurion Jumapili, huku mifumo ya Arrow na THAAD ikishindwa kulizuia kombora hilo la hali ya juu.
Related Posts
Kamanda: Jeshi la Iran litawaponda maadui wakifanya kosa lolote
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Kiumars Heidari amesema…
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Kiumars Heidari amesema…
Magaidi 16 wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia
Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kuwaua magaidi 16 wa al-Shabaab katika operesheni katika mkoa wa Hiiraan, mashariki mwa nchi,…
Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kuwaua magaidi 16 wa al-Shabaab katika operesheni katika mkoa wa Hiiraan, mashariki mwa nchi,…
Wakati Kiongozi Muadhamu alipoonana na Jeshi la Anga maadhimisho ya Alfajiri Kumi 2025
Sambamba na maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran, Imam…
Sambamba na maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran, Imam…