Harakati ya muqawama ya watu wa Yemen, Ansarullah, imeapa kwamba nchi hiyo itaongeza operesheni zake dhidi ya ngome za Marekani na Israel ili kujibu uchokozi wa Marekani dhidi ya ardhi ya Yemen na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina hasa mzingiro na mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza.
Related Posts
Jumatano, 29 Januari, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 28 Rajab, 1446 Hijria sawa na tarehe 29 Januari, 2025. Post Views: 23
Rwanda yakata mahusiano ya kidiplomasia na Ubelgiji kutokana na mgogoro wa DRC
Rwanda imekata mahusiano ya kidiplomasia na Ubelgiji Jumatatu huku kukiwa na mgogoro katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
Shughuli za mamluki na hasara za Ukraine: Ni nini kinachojulikana kuhusu hali katika Mkoa wa Kursk
Shughuli za mamluki na hasara za Ukraine: Ni nini kinachojulikana kuhusu hali katika Mkoa wa KurskAdui amepoteza zaidi ya wanajeshi…