Yemen yalishambulia kwa droni eneo la kijeshi la Israel, Tel Aviv, yatungua droni ya US Sa’daa

Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimefanya operesheni ya kijeshi kulenga eneo la jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Yafa kwa kutumia ndege isiyo na rubani ya Yaffa iliyotengenezwa ndani ya Yemen, na kuiangusha pia ndege isiyo na rubani ya Marekani aina ya Giant Shark F360 katika Mkoa wa Sa’daa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *