Yemen yakishambulia kwa kombora la Palestina kituo cha anga cha Nevatim cha jeshi la utawala wa Kizayuni

Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ametangaza kuwa vikosi hivyo imekishambulia kwa kombora kituo cha jeshi la anga la utawala wa Kizayuni cha Navatim katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *