Yemen yaangusha tena droni ya kisasa ya Marekani yenye thamani ya dola milioni 33

Vikosi vya Yemen vimeangusha tena ndege ya kivita isiyo na rubani au droni ya kisasa aina ya MQ-9 ya Jeshi la Marekani iliyokuwa ikifanya “mashambulizi ya kijeshi” katika anga ya nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *