Yemen: Tutatoa jibu la ‘kitaalamu na chungu’ kwa shambulio baya la Marekani

Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limelaani shambulio baya la Marekani dhidi ya nchi hiyo kwa kuunga mkono Israel, na kuapa kuwa taifa hilo la Kiarabu litauadhibu utawala huo wa kihalifu kwa njia “ya uchungu”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *