Wizi na uporaji wakithiri UK, kila siku matukio 55,000 ya wizi Uingereza

Ripoti ya Muungano wa Wafanyabiashara wa Uingereza inaonesha kuwa maduka 55,000 nchini humo hukumbwa na vitendo vya wizi na uporaji kila siku, na robo ya wakazi wa nchi hiyo ya Ulaya wanasema walishuhudia kwa uchache tukio moja la wizi mwaka jana 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *