Wito wa Umoja wa Mataifa wa kusimamishwa operesheni za kijeshi za utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawaa ghasibu wa Israel kusitisha mara moja operesheni zake za kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.