Wito wa Hamas wa kuanzishwa harakati ya kimataifa ya kupinga mpango wa kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina

Harakati ya Mapambano yya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa mataifa ya Kiarabu, Kiislamu na yaliyo huru duniani kujitokeza katika maandamano ya kupinga na kulaani mradi wa kuwaondoa kwa nguvu wananchi wa Palestina katika ardhi yao.