Wimbi la hasira za walimwengu liwakumbe Wazayuni na wenzao

Mjumbe wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu ambaye pia ni Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amegusia jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Ghaza na kusisitiza kwambaa, kuna udharura kwa wimbi la hasira za walimwengu liukumbe utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *