Wiki mbaya zaidi kwa soko la hisa Marekani wakati ushuru wa 10% ukianza kutumika Uingereza

Masoko ya hisa nchini Marekani yamehitimisha wiki yao mbaya zaidi tangu 2020, huku viwango vikubwa vya ushuru wa Donald Trump vikiendelea kusababisha taharuki kwenye masoko ya kimataifa.