WHO yaonesha wasiwasi kuhusu kusitishwa ufadhili wa programu ya HIV

Kusitishwa kwa ufadhili wa programu za HIV kunaweza kuwaweka watu wanaoishi na HIV katika hatari ya magonjwa na kifo