White House yakiri: US imefanya mazungumzo ya moja kwa moja na HAMAS

Ikulu ya White House imethibitisha ripoti inayodai kuwa Marekani imefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, yenye makao yake katika Ukanda wa Gaza.