Waziri wa zamani wa vita wa Israel: Tunakabiliwa na ‘mgogoro mkubwa zaidi katika historia yetu’

Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Ya’alon ametoa mwito kwa waandamanaji kuendeleza maandamano yao ili kuiangusha serikali ya Benjamin Netanyahu na kuhitimisha alichokiita ‘mgogoro mkubwa zaidi katika historia ya Israel’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *