Waziri wa Ulinzi wa Saudia yupo Tehran kujadili uhusiano wa pande mbili, masuala ya kieneo

Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia, Mwanamfalme Khalid bin Salman Aal-Saud amewasili Tehran leo Alkhamisi kwa ziara muhimu inayolenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Tehran na Riyadh, na kujadili masuala ya kieneo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *