Waziri wa Ulinzi wa Iran awaonya maadui kuhusu ‘jibu kali’

Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa vijana wa Jamhuri ya Kiislamu kwa hakika wako tayari kutoa “jibu kali na la kusikitisha” kwa kosa lolote la maadui wao, huku akiwaenzi vijana kujitolea kwao katika kulinda usalama wa taifa.