Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel akiri kushindwa mbele ya Hamas

Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Gideon Sa’ar, amekiri kwamba utawala huo umeshindwa mbele ya harakati ya Hamas na kwamba ulishindwa kuwakomboa mateka wake waliokuwa wakishikiliwa huko Gaza.