Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekumbusha kuhusu uungaji mkono ulioonyeshwa na nchi za Kiarabu na Kiislamu kwa hatua ya maana iliyochukuliwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ya kukabiliana na mpango wa pamoja wa Marekani na utawala wa Kizayuni unaoelenga kuifuta Palestina, na akabainisha kwamba: “Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuiunga mkono Palestina kwa msimamo thabiti.”
Related Posts
PUTIN AONGEA
Putin kwa Kiingereza: Sikiliza maneno ya rais wa Urusi kama kamwe kabla (VIDEO)RT imebadilisha hotuba muhimu za kumbukumbu zilizotolewa na…
Putin kwa Kiingereza: Sikiliza maneno ya rais wa Urusi kama kamwe kabla (VIDEO)RT imebadilisha hotuba muhimu za kumbukumbu zilizotolewa na…

Waasi wa Houthi washambulia Israel ya kati
Waasi wa Houthi washambulia Israel ya katiKundi linalojihami la Yemen limesema lilitumia “kombora lake jipya la balestiki ya hypersonic” katika…
Waasi wa Houthi washambulia Israel ya katiKundi linalojihami la Yemen limesema lilitumia “kombora lake jipya la balestiki ya hypersonic” katika…
Mwanadiplomasia wa Iran: Marekani, Israel zinajua vyema uwezo halisi wa Iran
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisiasa, Majid Takht Ravanchi amesema Marekani na utawala…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisiasa, Majid Takht Ravanchi amesema Marekani na utawala…