Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mpira sasa uko upande wa Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza katika andiko lililochapishwa na gazeti la Washington Post: “mpira sasa uko upande wa Marekani, na ikiwa Washington inatafuta suluhu ya kweli ya kidiplomasia, sisi tayari tumeshatangulia kuonyesha njia ya kuifikia.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *