Waziri wa Mambo ya Nje: Magharibi inapaswa ichukue hatua nyingi ili Iran iweze kuwa na imani nayo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mjibizo kwa kauli ya rais mpya wa Marekani aliyeonyesha hamu ya kufikia makubaliano na Iran, kwa kusisitiza kuwa, nchi za Magharibi zinapaswa kuchukua hatua nyingi ili kuifanya Iran iwe na imani nazo.