Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Doroth Gwajima ametoa mwito kwa taasisi nunuzi nchini kuhakikisha zinatenga asilimia ya ununuzi wao wa mwaka kwaajili ya kutoa zabuni za ununuzi kwa kampuni za wazawa pamoja makundi maalumu.

Waziri Gwajima amesema hayo jijini Arusha wakati akimuwakilisha Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye uzinduzi wa Kongamano la Tisa la Ununuzi wa Umma la Mwaka 2025, ambalo limejumuisha washiriki zaidi ya 2000.

✍ Ramadhani Mvungi
Mhariri @claud_jm
#AzamTVupdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *