Waziri wa Fedha wa Ufaransa: Kuna udharura wa kujibu ‘Vita vya kijinga’ vya Trump

Waziri wa Fedha wa Ufaransa amevitaja vitisho vya Rais wa Marekani, Donald Trump vya kutoza ushuru wa asilimia 200 kwa uagizaji wa bidhaa za Umoja wa Ulaya kuwa ni vya “kijinga”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *