Waziri mlowezi wa Kizayuni avamia tena Msikiti wa Al-Aqsa, Wapalestina wazuiwa wasiingie kusali

Duru za habari zimeripoti kuwa, waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amevamia tena Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa huku akilindwa na kusindikizwa na vikosi vya usalama vya utawala huo ghasibu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *