Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza ametahadharisha kuwa sera za kibiashara za Rais Donald Trump wa Marekani zinauelekeza uchumi wa dunia katika mdodoro hatari wa kiuchumi; na ni kupitia tu kuratibiwa hatua za kimataifa ndipo tunaweza kuzuia kukaririwa mgogoro wa uchumi kama ule ulioiathiri dunia mwaka 2008.
Related Posts
“Mshtuko” wa hali ya hewa waikumba miji mikubwa duniani, imo miji mikuu ya Afrika
Utafiti mpya wa hali ya hewa unaonyesha kuwa mabadiliko ya tabianchi tayari yanaathiri miji mingi mikubwa duniani, na kusababisha mabadiliko…
Utafiti mpya wa hali ya hewa unaonyesha kuwa mabadiliko ya tabianchi tayari yanaathiri miji mingi mikubwa duniani, na kusababisha mabadiliko…
Angola yajiondoa kama mpatanishi wa mgogoro wa DRC
Angola imejiondoa kama mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Post Views: 21
Angola imejiondoa kama mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Post Views: 21
HAMAS: Tumekuwa na mazungumzo ya mfululizo na wapatanishi kwa ajili ya kusitishwa vita Ghaza
Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku…
Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku…