Waziri Mkuu wa zamani wa Mauritius akamatwa kwa tuhuma za utakatishaji pesa

Waziri Mkuu wa zamani wa Mauritius Pravind Jugnauth amekamatwa na anakabiliwa na shtaka la utakatishaji psa. Hayo yameelezwa na Tume ya Uhalifu wa Kifedha inayoendeshwa na serikali ya nchi hiyo.