Waziri Mkuu wa Qatar: Diplomasia ndiyo njia bora ya kushirikiana na Iran

Waziri Mkuu wa Qatar ameitaka Marekani kurejea katika meza ya mazungumzo na kufikia makubaliano mapya kuhusu suala la nyuklia la Iran akisisitiza kuwa, diplomasia ndio utatuzi bora zaidi wa masuala tata.