Waziri Mkuu wa Greenland amjibu Trump: Marekani haitakipata kisiwa hiki

Waziri Mkuu wa Greenland amejibu matamshi ya Rais wa Marekani aliyedai kwamba Washington inataka kukidhibiti kisiwa hicho kikubwa cha ncha ya kaskazini ya dunia, na kusisitiza kwamba: “Marekani haitaipata Greenland”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *