Waziri Mkuu mteule asema Greenland katu haitauzwa, aitaka Ulaya isimame nayo kukabiliana na Trump

Waziri Mkuu mteule wa Greenland Jens-Frederik Nielsen ameziomba nchi za Ulaya zisimame pamoja nayo na kusisitiza kuwa eneo hilo si la kuuzwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *