Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda ambaye pia Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) amesema serikali na watanzania ina matumai…

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda ambaye pia Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) amesema serikali na watanzania ina matumai…

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda ambaye pia Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) amesema serikali na watanzania ina matumaini makubwa na chuo hicho katika mchango wake wa kutoa elimu na kutoa wito kwa chuo hicho kuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika elimu na maendeleo ya Taifa kwa ujumla.

Mkuu huyo wa Chuo Kikuu Huria (OUT) amesema hayo wakati wa kumpokea makamu mkuu mpya wa chuo hicho Profesa Alex Makuliro na kumuaga Profesa Elifas Bisanda aliyestaafu.

Mbali na Pinda pia Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria, Prof Joseph Kuzilwa alizungumza katika hafla hiyo.

Imeandaliwa na Rebeca Mbembela

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *