Wazayuni wazidi kutwangana, waziri “aonja joto ya jiwe” + Video

Wapinzani wa serikali ya Benjamin Netanyahu wamemshambulia waziri wa elimu wa utawala wa Kizayuni huku maandamano ya kupinga udikteta wa Netanyahu na serikali yake ya genge lenye misimamo mikali ya Kizayuni yakizidi kuwa makubwa na makali.