Watumiaji X katika kukabiliana na mpango wa kuikalia Gaza: Israel inaharibu, Trump anakalia kwa mabavu

Watumiaji wa mtandao wa X wameuchukulia mpango wa Donald Trump, rais wa Marekani wa kuwahamisha watu wa Gaza kutoka Palestina, kama ishara tosha ya ukoloni mpya wa Marekani.