Watu watatu wauawa katika hujuma ya Israel jijini Beirut licha ya mapatano ya kusitisha vita

Katika ukiukaji wa wazi wa makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon, jeshi la utawala wa Israel limefanya shambulizi dhidi ya jengo la makazi katika kitongoji cha kusini mwa mji mkuu wa Beirut, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua watatu na kujeruhi wengine kadhaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *