Watu wasiopungua 20 wameuawa katika hujuma ya wanajeshi wa Nigeria dhidi ya maandamano ya Siku ya Quds, Abuja

Makumi ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wameuawa na wengine kujeruhiwa wakati askari usalama walipofyatua risasi kwenye maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *