Watu wanne wamepoteza maisha yao na angalau hekari 70 za mazao zimeharibika ati ya Aprili 10 na 13, kufuatia mvua kubwa zilizosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi nchini Rwanda. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Wizara ya Usimamizi wa Masuala ya Dharura.
Related Posts
Askofu Mkuu wa Quds: Palestina, kamwe haitomsahau Nasrullah
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ugiriki katika mji mtukufu wa al-Quds unaokaliwa kwa mabavu, Atallah Hanna, amemuenzi na…

Wapinzani CAR waandamana kupinga muhula wa tatu wa Rais Touadéra
Maelfu ya waandamanaji wamemiminika katika mitaa ya Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wakiandamana bega kwa bega…

Vatican: Hali ya kiafya ya Papa Francis ni mbaya kutokana na tatizo la kupumua
Vatican imetangaza kuwa hali ya kiafya ya kiongozi wa Kanisa Katoliki mwenye umri wa miaka 88 bado ni mbaya. Post…