‘Watu wanaogopa’: BBC yatembelea mji wa DR Congo unaodhibitiwa na waasi

Zaidi ya watu 700 walifariki wakati wapiganaji wa kundi la M23 wakiteka mji wa mashariki wa Goma.