Watu tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hai kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Lugono Melala wilayani Mvomero – barabara kuu ya Morogoro–Iringa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Mizozo ya kijeshi duniani