Watu saba wauawa kwa shambulizi katika hospitali ya Sudani Kusini na soko,MSF yasema

Takribani watu saba wameuawa baada ya hospitali na soko kulipuliwa kwa bomu nchini Sudan Kusini, shirika la misaada la matibabu limesema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *