Watu 89 wauawa katika mashambulizi ya RSF Omdurman, Sudan

Raia wasiopungua 89 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye vijiji vya Omdurman, karibu na ufukwe wa Mto Nile, kaskazini magharibi mwa Khartoum.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *