Watu 5 wauawa katika mlipuko wa msikitini kaskazini magharibi mwa Pakistan

Watu 5 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika Msikiti wa Chuo Kikuu cha Haqqaniyya kaskazini magharibi mwa Pakistan.