Watu 3 watiwa mbaroni Zambia kwa kueneza madai ya uongo kuhusu afya ya Rais

Vyombo vya usalama nchini Zambia vimetangaza kuwa watu watatu wametiwa mbaroni kwa kueneza taarifa za uongo kuhusu hali ya afya ya Rais Hakainde Hichilema kwenye mitandao ya kijamii.