Watu 108 waaga dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Angola

Watu karibu 108 wamefariki dunia nchini Angola kutokana na mlipuko wa kipindupindu tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Hiyo hni kulingana na taarifa ya wizara ya afya ya nchi hiyo.