Watoto wenye matatizo ya afya ya akili wazidi kuongezeka nchini Uingereza

Idadi ya watoto wanaokabiliwa na matatizo ya afya ya akili nchini Uingereza inaripotiwa kuongezeka na kuibua wasiwasi mkubwa katika jamii ya hiyo ya bara Ulaya.