Watekaji waliniuliza kama nahofia kuvushwa upande wa pili wa mpaka- Maria Sarungi

Mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi Tsehai anasema alitekwa nchini Kenya na watu wanne wasiojulikana na baadaye kuachwa kando ya barabara.