Wataalamu watoa mwito wa mageuzi Afrika chini ya urais wa G20 wa Afrika Kusini

Wataalamu na watunga sera waliohudhuria mkutano kuhusu vipaumbele vya Afŕika chini ya Urais wa Afrika Kusini wa Kundi G20 wamesisitizia haja ya kuyapa kipaumbele mageuzi muhimu ambayo yatasaidia ustawi na maendeleo ya Afŕika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *